Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Masaa 48 kuelekea uchaguzi mkuu, baadhi ya Watanzania wametoa maoni kuhusu matumaini yao kwa wagombea wa urais .
Tuma Facebook Twitter Whatsapp Web EMail Telegram Facebook Messenger Web
Kiungo https://p.dw.com/p/3kRgf
Rais wa Tanzania John Magufuli ameahidi kufanya kazi na wapinzani wake baada ya ushindi wa kishindo katika uchaguzi ambao mpinzani wake mkuu aliuelezea kuwa wa udanganyifu mkubwa na Marekani ikasema ulikumbwa na dosari
Tume ya Uchaguzi Tanzania imemtaka mgombea wa chama cha upinzani Chadema, Tundu Lissu kujitokeza katika kamati ya maadili ya tume hiyo kujibu baadhi ya hoja alizoziibua kwenye kampeni.
Tume ya uchaguzi Tanzania imeanza kutoa matokeo ya uchaguzi wa wabunge, ambayo yanaonyesha chama kikuu cha upinzani, CHADEMA kimepoteza viti muhimu, vilivyozolewa na chama tawala, CCM.
Raia wa Tanzania watapiga kura Jumatano kumchagua rais mpya wa kuliongoza taifa hilo. Upinzani unaonesha kuwa na imani na mchakato huo, lakini wasimamizi wana shaka kuwa hautakuwa uchaguzi wa haki na amani.