1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni Meza ya Duara: Kampeni kuelekea Uchaguzi wa Uganda

23 Desemba 2025

Nchini Uganda wakati ambapo nchi hiyo inaelekea kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Januari 15. 2026. Asasi za kiraia, wadadisi wa masuala ya utawala wanasiasa na watu mbali mbali wanakosoa uhusika wa moja kwa moja wa wanajeshi katika kampeni za uchaguzi nchini Uganda. Huu ni mjadala kwenye Maoni Meza ya Duara wiki hii. Mwenyekiti ni Zainab Aziz

https://p.dw.com/p/55sQq