1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni mbele ya Meza Duara: Taswira ya demokrasia Afrika Mashariki

Mohammed Khelef
20 Agosti 2017

Mada ya safari hii ni taswira ya demokrasia katika kanda ya Afrika Mashariki, kwa kuchukulia uchaguzi kama kigezo kikuu. Mohammed Khelef anaongoza jahazi, ndani yake wakiwemo Profesa Abdul-Sharif, mwanahistoria na mchambuzi kutoka Dar es Salaam Tanzania, profesa Pasifiki Malongo kutoka Kigali Rwanda, Profesa Kenny Walibora kutoka Kenya na Kassimu Kayiira kutoka Uganda.

https://p.dw.com/p/2iXAp