1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni - DRC na uanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

Rashid Chilumba18 Aprili 2022

Maoni mbele ya Meza ya Duara wiki hii inajadili nafasi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Rashid Chilumba amewaalika mezani viongozi na wachambuzi kutafuta majibu ya maswali mengi kuhusu suala hilo.

https://p.dw.com/p/4A3PV