1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Familia bado zakabiliwa na changamoto

Josephat Charo
19 Mei 2018

Ulimwengu umeadhimisha siku ya kimataifa ya familia Mei 15. Suala linaloangaziwa mwaka huu ni familia na jamii shirikishi wakati familia za Afrika Mashariki na Kati zikiwa zingali zinakabiliwa na changamoto kedekede. Jiunge na Josephat Charo katika kipindi cha Maoni mbele ya meza ya duara.

https://p.dw.com/p/2xuyW