MANILLA :Sita wauawa nchini Ufilipino | Habari za Ulimwengu | DW | 11.10.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

MANILLA :Sita wauawa nchini Ufilipino

Watu wasiopungua sita wameuawa katika shambulio la bomu nchini Ufilipino. Shambulio hilo lilifanyika wakati wa tamasha katika mji wa Makilala kusini mwa nchi hiyo.

Watu wengine 40 walijeruhiwa .

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com