Maneno 11 ya Kijerumani unayopaswa kuyajuwa kwa ajili ya Kombe la Dunia | Mada zote | DW | 14.06.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Michezo

Maneno 11 ya Kijerumani unayopaswa kuyajuwa kwa ajili ya Kombe la Dunia

Jifunze kuzungumza kama bingwa wa dunia! Wakati Kombe la Dunia likianza tarehe 14 Juni hadi 15 Julai, ni wakati wa kupiga msasa msamiati wetu wa soka - na Wajerumani wanauelezea mchezo huu kwa njia ya ubunifu kabisa.