Mamia waandamana kupinga Wachina Kampala | Matukio ya Afrika | DW | 19.04.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Wafanyabiashara Uganda

Mamia waandamana kupinga Wachina Kampala

Wafanyabiashara wa Kampala wamekusanyika katikati mwa mji kupinga kile wanachokitaja kuwa kunyanyaswa na raia wa China wanaofanya biashara za rejareja na kuuza bidhaa sawa na zao kwa bei ya chini.

Sikiliza sauti 02:40
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Ripoti ya Emmanuel Lubega kutoka Kampala

Mgomo huo umeungwa mkono na viongozi wa mji wakiwemo meya Erias Lukwago na mbunge wa eneo hilo Muhamad Nsereko ambaye amekamatwa na kuzuiliwa kwa muda na polisi kwa madai ya kuwachochea wafanyabiashara waafrika. 

Sauti na Vidio Kuhusu Mada