Malu Malu mpatanishi wa DRC afariki | Matukio ya Afrika | DW | 01.07.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Malu Malu mpatanishi wa DRC afariki

Padre Apollinaire Malu Malu aliyekuwa kiongozi wa tume huru ya uchaguzi Kongo na msimamizi wa mazungumzo baina ya serikali na makundi ya waasi amefariki huko Dallas, Marekani, baada ya kuugua saratani.

Sikiliza sauti 02:26
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Ripoti ya Saleh Mwanamilongo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada