Malkia Abla Pokou: Mama wa watu wa Baoulé wa Ivory Coast | Asili ya Afrika | DW | 14.01.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Asili ya Afrika

Malkia Abla Pokou: Mama wa watu wa Baoulé wa Ivory Coast

Abla Pokou ni malkia aliyeuongoza msafara wa watu wake kutoka eneo ambalo leo hii ni Ghana hadi Ivory Coast. Alipofika huko aliazisha taifa la watu wa Baoulé mnamo mwaka 1770. Simulizi zinadai kuwa alimrusha mtoto wake pekee kwenye maji ya Mto Comoé ili watu wake waweze kuuvuka.

Tazama vidio 02:17