Malawi: Tatizo la kiufundi katika zoezi la kupiga kura | Matukio ya Afrika | DW | 22.05.2014
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Malawi: Tatizo la kiufundi katika zoezi la kupiga kura

Siku mbili baada ya wamalawi kupiga kura bado raia wa nchi hiyo wanasubiri matokeo ya uchaguzi kujua ni nani atakayewaongoza kwa miaka mitano ijayo.

Hata hivyo tume ya uchaguzi nchini humo, imetangaza kuwepo kwa matatizo ya kiufundi katika mfumo mzima wa kuhesabu kura hatua inayosababisha kura kuhesabiwa kwa kasi ndogo. Frank Kandu ni mwandishi habari anayeishi mjini Blantyre na Amina Abubakar amezungumza naye na kwanza anaelezea jinsi mambo yalivyo kwa sasa.

Mwandishi: Amina Abubakar

Mhariri :Yusuf Saumu

Sauti na Vidio Kuhusu Mada