1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Malaria Zanzibar

27 Februari 2007

Wataalamu kutoka barani Afrika, Ulaya na Marekani wameanza kikao cha siku tatu mjini Zanzibar, kujadili maendeleo na matatizo ya tiba ya Malaria.

https://p.dw.com/p/CHJJ

Malaria inakisiwa kusababisha vifo vya watu milioni 1 kila mwaka hasa watoto wachanga walio na umri chini ya miaka mitano, barani Afrika.

Salim Said Salim anaripoti ifuatayo.