Malaria – Kipindi 7 – Wakati wa kuponya16.03.201116 Machi 2011Nyumbani uhusiano kati ya familia na jirani yao wa zamani, Mama David uko matatani. Familia nzima sasa imeamua kupima malaria. Je hali ya Karembo itaimarika? Tutabaini hilo muda si mrefu!https://p.dw.com/p/QolmMatangazo