1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makundi ya kihalifu ya koo mbambali Ujerumani

1 Oktoba 2020

Nchini Ujerumani kuna vita vikali vinavyoendelea dhidi ya makundi ya kihalifu ya koo mbali mbali mbali. Makundi hayo yanayohusisha kwa asilimia kubwa familia zenye mizizi katika nchi za kiarabu, hufanya shughuli za kihalifu. Makala haya yanaangazia jinsi harakati za kuyadhibiti makundi hayo ya kihalifu zilivyoshika kasi, msikilize Harrison Mwilima.

https://p.dw.com/p/3jIS2