Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Makumbusho iliyojaa vyakula vya ikirahi imefunguliwa nchini Sweden. Makumbusho hiyo ya vyakula vya kuchukiza itaonesha vyakula kama uume wa ngombe dume, jibini yenye funza, na papa alieoza.