1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makan Tandina kutoka Mali analeta umeme katika shule

18 Novemba 2015

Nchi ya Afrika ya Magharibi ya Mali haizalishi umeme wa kutosha kusambaza kwa watu wote. Nchi hiyo inalazimika kununua umeme kutoka nchi jirani kama vile Ivory Coast. Nishati ya jua inaweza tu kuwa mkombozi wa Mali, ndiyo maana mhandisi mmoja kijana ana nia ya kuhakikisha mradi unafanikiwa hasa kwenye vijiji vya ndani ndani.

https://p.dw.com/p/1H82b