1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Uchumi

Makampuni ya biashara ya Ujerumani yatakiwa kuwajibika zaidi

Oumilkheir Hamidou
20 Machi 2019

Sura ya Ujerumani inaangazia shughuli za kiuchumi, ambapo makampuni na mashirika yanatakiwa kuwajibika zaidi. Hivi sasa muswada wa sheria unaratibiwa, ili kuyalazimisha makampuni na mashirika kuwajibika juu ya utaratibu wa kusafirisha bidhaa kutoka kiwandani hadi kwa mteja,ili kuongeza ushindani wa kibiashara, msimulizi ni Oumilkheir .

https://p.dw.com/p/3FM0i