1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala yetu leo: Kilimo cha miti na faida zake

26 Mei 2023

Kilimo cha miti kimepata umaarufu katika miaka ya hivi karibuni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ya ongezeko la mahitaji ya mazao ya miti na changamoto za kimazingira, zinazotokana na mabadiliko ya tabia nchi. Miti inayolimwa inatumika kwa ajili ya kuzalisha mbao, nguzo za umeme, nguzo za kujengea nyumba na utengenezeaji wa karatasi. Zaidi Salma Mkalibala anaeleza.

https://p.dw.com/p/4RrNG