1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala ya Afrika wiki Hii

Amina Mjahid
15 Oktoba 2021

Amina Abubakar amekukusanyia matukio yaliojiri barani Afrika katika kwa juma moja zima. Kuanza kwa kesi dhidi ya watu 14 akiwemo rais wa zamani wa Burkina Faso Blaise Compaore kuhusu mauaji ya Thomas Sankara miaka 34 iliyopita, Huku ya Makama ya ICJ kuhusu mzozo wa Kenya na Somalia na kumbukumbu ya kifo cha muasisi wa taifa la Tanzania Mwalimu Nyerere ni miongoni mwa yale yalio katika makala hii.

https://p.dw.com/p/41kEQ