Yaliyomo katika Afrika Wiki hii ni pamoja na Kenya imetangaza kupandisha kima cha chini cha mshahara, huko Tanzania Asasi za kiraia zenye ushawishi mkubwa zimekosoa vikali ripoti ya uchunguzi wa matukio ya kabla na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29 2025 Na viongozi kwenye sekta afya Afrika wasema kupunguzwa kwa misaada ya Marekani ni fursa ya kujitegemea.