1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala: Juhudi za kunusuru maporomoko ya Murchison

Lubega Emmanuel/MMT19 Julai 2019

Mpango wa kujenga bwawa la umeme kwenye maporomoko maarufu ya maji ya Murchison yaliyoko katika mbuga za wanyama Magharibi mwa Uganda umeshutumiwa vikali na wadau mbalimbali. Je, juhudi hizo zinaweza kuyanusuru maporomoko hayo. Fuatana na Lubega Emmanuel katika makala hii ya Mtu na Mazingira

https://p.dw.com/p/3MLQU