1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Majirani wasaidiana kupitia App ya Nextdoor

Yusra Abdallah Buwayhid7 Aprili 2020

Sema Uvume inaangazia App ya Nextdoor inayowaruhusu majirani kusaidiana wakati wakiwa wamefungika majumbani katika kipindi hiki cha virusi vya corona. Na nyingine ni App ya Volkswagen iitwayo Move inayokodisha magari yanayotumia umeme huko Rwanda.

https://p.dw.com/p/3aaiG