Majipu husababishwa na nini mwilini? | Media Center | DW | 22.06.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Majipu husababishwa na nini mwilini?

Bila shaka wengi wetu tumewahi kupatwa na majipu kwa namna moja ama nyingine. Kama si wewe mwenyewe uliyewahi kupatwa na tatizo hili, basi huenda akawa rafiki, jamaa ama mwanafamilia. Ungana na Angela Mdungu katika makala ya Afya yako.

Sikiliza sauti 09:45