Majadiliano kumaliza mgogoro wa madereva wa treni Ujerumani | Habari za Ulimwengu | DW | 04.12.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Majadiliano kumaliza mgogoro wa madereva wa treni Ujerumani

Majadiliano yaliyoanza siku ya Jumatatu kati ya Shirika la Reli la Ujerumani-Deutsche Bahn na chama cha wafanyakazi cha madereva wa treni-GDL yanaendelea hii leo katika juhudi ya kutenzua mgogoro wa mshahara uliosababisha idadi fulani ya migomo nchini Ujerumani.Tatizo moja kuu ni dai la GDL kutaka mkataba wake wenyewe wa mshahara mbali na ule uliokubaliwa na waajiriwa wengine wa Deutsche Bahn.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com