Maisha yako ya utoto yalikuwaje? | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 08.06.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Maisha yako ya utoto yalikuwaje?

Siyo wote walifurahia maisha yao ya utoto. Wengine walikabiliwa na vizingiti vingi, ugomvi wa wazazi, ukatili, vipigo na hata unyanyasaji. Waliishi kwa furaha na kuoneshwa upendo wanafarijika hadi leo na wale waliopitia magumu wanasema watahakikisha watoto wao hawapitii madhila yaliyowapata. Tizama vidio hii.

Tazama vidio 03:12