Maisha ya watoto wa mitaani DRC | Afrika yasonga mbele | DW | 11.10.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika yasonga mbele

Maisha ya watoto wa mitaani DRC

Idadi kubwa ya watoto wa umri mdogo wametumbukia katika maisha ya mitaani baada ya kufukuzwa majumbani mwao kwa tuhuma za kuitwa wachawi na familia zao

Tazama vidio 03:41
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Mjini Kinshasa, Zaidi ya watoto  25,000 wanaishi mitaani. Wengi wanajijengea jamii zao, zinazoongozwa na wale waliokomaa mitaani. Wanawalinda wadogo, ambao wengi wamejikuta mitaani baada ya kutuhumiwa kuwa wachawi  na kufukuzwa makwao.