1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maisha mapya ya vyuoni katika janga la virusi vya corona

Sudi Mnette
21 Julai 2020

Je unataka kujua namna ya maisha mapya ya vyuoni katika janga la virusi vya corona baada ya vyuo kufunguliwa nchini Tanzania? Msikilize Sylvia Mwehozi katika kipindi cha Vijana Mchakamchaka.

https://p.dw.com/p/3fdkH