Mahojiano ya Kinagaubaga na Maalim Seif Sharif Hamad | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 05.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Mahojiano ya Kinagaubaga na Maalim Seif Sharif Hamad

Mohamed Khelef amefanya mahojiano na makamu wa rais wa zamani wa serikali ya mapinduzi Zanzibar na mwanasiasa wa siku nyingi wa upinzani Maalim Seif Sharrif Hamad kuhusu uamuzi wake wa kuwania nafasi ya mwenyekiti wa chama cha upinzani cha ACT Wazalendo.

Sikiliza sauti 09:32