1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano na mgombea urais wa chama cha CCM visiwani Zanzibar

29 Oktoba 2010

Huku uchaguzi mkuu ukiwadia jumapili ijayo huko Zanzibar, yaonesha kuna mchuano mkali kati ya mtetezi wa urais wa Chama cha CCM, Dr. Ali Mohammed Shein, na yule wa chama kcha cha CUF, Maalim Seif Shariff Hamad.

https://p.dw.com/p/PrKp
Kampeni za chama cha CCMPicha: DW

Mohammed Abdulrahman amefanya mahojiano ya kipekee na Dr. Ali Mohammed Shein alasiri ya leo na alimuuliza ni mambo gani kiongozi huyo anayokusudia kuyapa kipa umbele katika serikali yake pindi atakapopata ridhaa ya wapiga kura kuiongoza Zanzibar?

Mwandishi Maryam Abdalla

Mhariri: Othman Miraji