Mahojiano na Kiongozi wa jamii ya Kisomali nchini Uganda kuhusu hali ya Somalia | Matukio ya Kisiasa | DW | 26.04.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mahojiano na Kiongozi wa jamii ya Kisomali nchini Uganda kuhusu hali ya Somalia

Mbali na kuweko kwa jamii ya Wasomali katika nchi za Afrika mashariki, kwa miaka mingi iliopita, vita nchini Somalia sasa vimesababisha wimbi kubwa la wakimbizi nchi za nje, zikiwemo Kenya na Uganda, na hali ya mambo inawasikitisha sana wasomali wanaoishi katika nchi hizo.

Mapigano yanayoendelea mjini Mogadishu,Somalia

Mapigano yanayoendelea mjini Mogadishu,Somalia

Mwandishi wetu Omar Mutasa amezungumza na Kiongozi wa jamii ya wasomali nchini Uganda Bw. Din Hassan na kwanza anaelezea maoni yake juu ya kuendelea kwa vita nchini Somalia.
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com