1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano na Gavana wa Kivu Kaskazini kuhusiana na hali ilivyo Mashariki ya Kongo

10 Novemba 2008

Hali bado ni tete mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, ambapo jana kulizuka mapigano makali katika kijiji cha Ngungu kilichopo katikati ya Kivu kusini na Kaskazini.

https://p.dw.com/p/Fqto
Kambi ya Wakimbizi Goma Mashariki ya KongoPicha: AP

Halima Nyanza alizungumza na Gavana wa mji mkuu wa jimbo la Kivu kaskazini, Goma, Julien Paluku kuhusiana na hali jinsi ilivyo kwa sasa.