1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano maalum ya DW na rais Samia Suluhu Hassan

Mohammed Khelef
17 Februari 2022

Akiwa ziarani mjini Brussels, Ubelgiji, Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya mahojiano maalum na Sudi Mnette wa Idhaa ya Kiswahili ya DW, ambapo amezungumzia masuala kadhaa muhimu ya ndani na ya kimataifa.

https://p.dw.com/p/47BFv