1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano kuhusu ziara katika maeneo ya mipaka iliyoigawa Ujerumani Mashariki na Magharibi

Saumu Ramadhani Yusuf8 Oktoba 2019

Shirika hili la DW kupitia waandishi wake maahiri kutoka idhaa mbali mbali za kiafrika limefanya ziara katika maeneo ya mipaka iliyoigawa Ujerumani Mashariki na Magharibi kuitathmini hali ilivyo miaka miaka 30  baada ya kuuangushwa ukuta wa Berlin na hatimae Ujerumani mbili kuungana.

https://p.dw.com/p/3SQEM

Sudi Mnette ni miongoni mwa watangazaji na waandishi wa DW walioko kwenye ziara hiyo muhimu ya kikazi na Saumu Mwasimba amezungumza nae kutaka kujua ni kitu gani hasa walichojionea na kuzungumza na wenyeji wa maeneo hayo ya mipaka waliyokwisha kuitembelea hadi sasa.