Mahakama Uganda yamuachia Dr. Stella Nyanzi | Media Center | DW | 20.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mahakama Uganda yamuachia Dr. Stella Nyanzi

Zikiwa zimesalia siku mbili tu kabla ya kumaliza kifungo chake cha miezi 18, mahakama nchini Uganda umekubali rufaa ya mwanaharakati na mkosoaji mkubwa wa rais Yoweri Museveni, Stella Nyanzi, aliehukumiwa kwa matumizi mabaya ya mtandao ya kumkosea heshima rais wa Uganda na mama yake mzazi. #Kurunzi 20.02.2020.

Tazama vidio 02:33