1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahakama Kuu Tanzania yaliondoa shauri wapinzani

Mohammed Khelef
15 Januari 2019

Mahakama Kuu nchini Tanzania imeliondoa shauri namba 31 la 2019 lililofunguliwa na viongozi watatu wa upinzani wanaowakilisha vyama 10 vya siasa lililotaka zuio kwa mswaada wa vyama vya siasa kuwasilishwa bungeni kwa kile kilichoelezwa kuwa limewasilishwa kimakosa. Nini maoni yako? Kurunzi 14.01.2019.

https://p.dw.com/p/3BYx4