Magurudumu ya magari yatumiwa kutengeneza bidhaa mbadala | Media Center | DW | 04.10.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Magurudumu ya magari yatumiwa kutengeneza bidhaa mbadala

Kutokana na ubunifu pamoja na uhaba wa ajira kijana Salum Rashid, mtanzania mwenye umri wa miaka 20, amebaini matumizi mbadala ya matairi ya magari kwa kutengeneza majiko ya kupikia kwa kutumia nishati ya mkaa pamoja na zana za kuhifadhia taka maofisini.

Tazama vidio 03:28