Magufuli na Papa Francis wavuma Twitter | Masuala ya Jamii | DW | 30.11.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Magufuli na Papa Francis wavuma Twitter

Watumiaji wa Twitter Afrika Mashariki wameijadili ziara ya Papa na kuonyesha Magufuli anavyowafanya wabane matumizi. Katika Sema Uvume tunazungumzia mada hizo na kukufahamisha kuhusu App ya DW.

Sikiliza sauti 09:45

Sema Uvume na Elizabeth Shoo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com