1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Magufuli asaini sheria mpya ya madini

Saumu Yussuf11 Julai 2017

Rais wa Tanzania John Magufuli anasema amesaini sheria mpya ya madini itakayowezesha serikali kumiliki angalau asilimia 16 ya miradi ya uchimbaji wa madini na pia kuongeza kodi ya mirahaba, akiapa kwamba sasa nchi yake haitaibiwa tena. Lilian Mtono anazungumza na Marcos Albanie mchambuzi wa masuala ya uchumi na siasa wa Dar es Salaam juu ya sheria hiyo mpya.

https://p.dw.com/p/2gK48