1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Magari ya gesi Tanzania

30 Juni 2022

Tanzania ni moja ya nchi zilizo geukia mfumo wa nishati ya gesi katika magari baada ya ongezeko la bei ya mafuta ya petrol na disel Licha ya kuwa mfumo huu kuwa ni rahisi kwa watumiaji lakini kunachangamoto ya uhaba wa vituo vya kujizia gesi huku mipango ya serikali ni kuongeza kituo mama kwaajili ya usambazaji wa gesi.

https://p.dw.com/p/4DTB3