1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mafuta yapanda bei Tanzania na kuibua hofu ya maisha kupanda

2 Desemba 2021

Mamlaka ya Huduma za Nishati na Maji Tanzania,(EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta ya petroli zitakazotumika kuanzia mwezi Disemba. Chini ya tangazo hilo gharama ya mafuta ya petroli imepanda kwa hadi Sh.71 za kitanzania ikilinganishwa na mwezi uliopita, hali ambayo wadau katika sekta ya uchumi wanasema itaongeza mzigo kwa watumiaji wa kawaida. Msikilize Florence Majani kutoka Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/43jQZ