Mafunzo ya karate kwa watu wenye ulemavu wa ngozi ili kujilinda | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 21.04.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Mafunzo ya karate kwa watu wenye ulemavu wa ngozi ili kujilinda

Klabu hii inatoa mafunzo ya karate kwa watu walio na ulemavu wa ngozi ili kujiimarisha kimwili lakini pia kujilinda, hasa ikizingatia maisha yao wakati mwingine huwa mashakani, kufuatia imani potofu za kishirikina. Ahmad Juma anasimulia zaidi.

Tazama vidio 03:20