Mafunda Faki, balozi wa vijana Zanzibar katika jumuiya ya Afrika Mashariki | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 01.10.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Mafunda Faki, balozi wa vijana Zanzibar katika jumuiya ya Afrika Mashariki

Licha ya utamaduni wa jamii inayomzunguka, Mafunda Faki ambaye ni msichana anayeiwakilisha Zanzibar katika Jumuiya ya Afrika Mashariki amepiga hatua na kuwa mfano kwa vijana wenzake. Ushauri na ushawishi wake kwa vijana wenzake ni upi? Je ana malengo yapi? Mwanahabari Chipukizi Hadija Halifa anamuangazia kwenye #MsichanaJasiri.

Tazama vidio 05:41