1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Teknolojia na wafanyabiashara wadogo wa bidhaa za asili

Lubega Emmanuel11 Machi 2020

Ungana naye Lubega Emanuel katika makala yetu leo ufahamu jinsi Maendeleo ya teknolojia yanavyochangia kuimarisha maisha wafanyabiashara wadogo wa Uganda wanaoshiriki katika biashara za kutengeneza vitu vya utamaduni kama vile mikeka, vikapu, zana za muziki, mavazi, mapambo na urembo hasa wa wanawake.

https://p.dw.com/p/3ZCWs