Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Wanawake wengi Uganda walifutwa kazi kutokana na kusimamishwa kwa shughuli za biashara na uchumi katika kipindi hiki cha COVID-19. Imewabidi baadhi yao kujitosa katika biashara ya magari ya Teksi katika mitaa ya Kampala
Tuma Facebook Twitter Whatsapp Web EMail Telegram Facebook Messenger Web
Kiungo https://p.dw.com/p/3krMw
Mawasiliano ya mtandao yalirejeshwa Jumatatu nchini Uganda siku tano baada ya kusitishwa kote nchini kabla ya uchaguzi ambao upinzani umesema ulijawa na udanganyifu.
Mgombea wa upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine, amesema jeshi limeingia nyumbani kwake na kuchukua udhibiti kamili akiongeza kuwa yumo katika matatizo makubwa.
Mahakama Kuu nchini Uganda Jumatatu imeviamuru vikosi vya usalama kukomesha mara moja kuizingira nyumba ya mgombea urais Bobi Wine. Bobi Wine amekuwa chini ya mzingiro tangu alipomaliza kupiga kura yake Januari 14.
Maafisa wa ngazi za juu wa vyombo vya usalama nchini Uganda wametoa onyo kali kwa yeyote ambaye ana nia ya kusababisha rabsha na vurugu katika uchaguzi utakaofanyika Alhamisi ijayo kwamba atajuta kuzaliwa.