1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Madaktari wahofia kuangamizwa na corona mashariki ya Kongo

Mohammed Khelef
9 Agosti 2021

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, madaktari wa mkoa wa Kivu Kusini wana wasiwasi kwamba ongezeko la maambukizo ya virusi vya corona mashariki mwa nchi hiyo katika wimbi hili la tatu huenda likawaangamiza wengi wao. Sikiliza ripoti ya Mitima Delachance kutoka Bukavu.

https://p.dw.com/p/3ylOU