1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaNiger

Macron abadili msimamo, sasa atamuondoa balozi wake nchini Niger

Rashid Chilumba
25 Septemba 2023

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kuwa nchi hiyo itaondoa kikosi chake cha kijeshi na kumrejesha nyumbani balozi wake nchini Niger kiasi miezi miwili baada ya majenerali kutwaa hatamu za utawala mjini Niamey. Uamuzi huo wa Macron unafuatia wiki kadhaa za mvutano. Je nini imemlazimisha kubadili msimamo wake hivi sasa? Sikiliza maoni ya mchambuzi Ahmed Rajab, akihojiwa na Rashid Chilumba.

https://p.dw.com/p/4Wn4R