1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mabwawa ya samaki ya kimazingira

8 Februari 2018

Tazama vijana wawili kutoka Dar es Salaam wanaotengeneza mabwawa ya samaki ambayo yanaweza kuhamishwa na kupelekwa popote pale. Vijana hawa wanatumia teknolojia ya kisasa katika kuyatengeneza mabwawa haya na wanasema yako tofauti kabisa na mabwawa ya zamani.

https://p.dw.com/p/2sMoA