1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mabunge ya Afrika yahimizwa kufuatilia tuhuma za rushwa

Lilian Mtono
19 Novemba 2018

Kamati za mabunge ya Afrika zinazofuatilia matumizi ya fedha za umma zimehimizwa kuchunguza madai ya ulaji rushwa mara tu zinapofichuliwa. Naibu spika wa bunge la Uganda amesema kuchelewesha kushughulikiwa kwa madai hayo huchangia mafisadi kuendelea kutumia fedha za umma wanazoiba kujitajirisha.

https://p.dw.com/p/38XVE