1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mabomu yalipuka Algeria na kuua kadhaa

11 Desemba 2007
https://p.dw.com/p/CaBT

ALGEARS.Mabomu mawili yamelipuka muda mfupi uliyopita katikati ya mji mkuu wa Algeria Algiers ambako kuna taarifa za vifo na majeruhi.

Kwa mujibu wa mashuhuda, bomu la kwanza lilipuka katika basi la shule mbele ya jengo la mahakama kuu ya Algeria na lingine lilipuka karibu na kituo cha Polisi cha polisi jijini Algiers.

Hadi wakati tunakwenda hewani hakuna taarifa zaidi.