Mabadiliko ya baraza la mawaziri nchini Kenya | Matukio ya Afrika | DW | 27.03.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Mabadiliko ya baraza la mawaziri nchini Kenya

Mabadiliko yaliyofanywa jana katika baraza la mawaziri nchini Kenya ambapo Waziri wa Utalii Najib Balala aliondolewa katika wadhifa wake yamezua hisia mbali mbali miongoni mwa wakenya.

Rais Mwai Kibaki wa Kenya

Rais Mwai Kibaki wa Kenya

Kutoka Nairobi,mwandishi wetu Alfred Kiti na ripoti kamili.

(Kusikiliza ripoti hiyo tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi:Alfred Kiti Dw Nairobi

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada